19 August 2012

Da' Mija na Getrude Mongela


Licha ya kukutana na marafiki na wanablogu wenzangu, nimeweza pia kukutana na mwanamke wa shoka Mama Gertrude Mongela. Kwa kweli tulikuwa na wakati mzuri wa kuongea na kubadilishana mawazo. Nimejifunza mengi sana kutoka kwake...


8 Comments:

At Sunday, 19 August 2012 at 09:24:00 BST, Blogger Rachel Siwa said...

Inapendeza mnoooo!!

 
At Sunday, 19 August 2012 at 12:14:00 BST, Blogger Kibunango said...

Baab Kubwa...

 
At Monday, 20 August 2012 at 13:58:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Weweee!?

Nene ghuku!

 
At Tuesday, 21 August 2012 at 06:50:00 BST, Blogger Yasinta Ngonyani said...

yaaani mpaka wivuuuuuuuu...Hongera samna dada mkuu msaidizi ila itakapokuwa zamu yangu kuonana na na watu usione wivu..LOL

 
At Thursday, 23 August 2012 at 11:42:00 BST, Blogger emuthree said...

Kumbe upo bongo, ...oh,sijui utakuwa maeneo gani, maana tuna hamu ya kumuona `mwanamke wa shoka'

 
At Saturday, 25 August 2012 at 12:41:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Mayowane,

Una visa wewe!

Nene Ghuku.

 
At Thursday, 30 August 2012 at 11:59:00 BST, Blogger emuthree said...

Tupo tupo, mpendwa, tutafute kabla hujaondoka, au ndio umeshaishia majuu!

 
At Monday, 3 September 2012 at 15:54:00 BST, Blogger Interestedtips said...

nimekutamaniaaaaaaaaaaa....safi sana

 

Post a Comment

<< Home